Naomba kujuzwa Maana na tofauti ya maneno 'hofu', 'wasiwasi', na 'uoga'

Naomba kujuzwa Maana na tofauti ya maneno 'hofu', 'wasiwasi', na 'uoga'

Wataalamu wa lugha habari, naomba kujua maana na tofauti ya maneno hofu, wasiwasi, uoga

Sent using Jamii Forums mobile app


Ngoja nijaribu kutoa maelezo kwa kutumia sentensi.

(1) Nahofia maisha yake yatapotea asipotumia dawa vizuri.

(2) Alishikwa na wasiwasi alipoona yupo karibu kushikwa kutokana na wizi alioufanya.

(3) Watu waliogopa kupita njia ile baada ya kumuona Simba kasimama njiani.

Tusubiri wataalamu wa lugha ya kiswahili waje.
 
Wataalamu wa lugha habari, naomba kujua maana na tofauti ya maneno hofu, wasiwasi, uoga

Mi naona yana maana moja tu,

Kwenye lugha ya kingereza Kuna kitu kinaitwa synonyms, if am not mistaken

Yaani unakuta maneno tofauti tofauti yenye maana moja, for instance opportunity,chance, Juncture OR Father,Dad,Dadie,Daddy,

So I think it is same applied in kiswahili language
 
Hofu- dhania kuwa kuna ktu kbaya, wasiwasi-kutokuwa na iman na jambo au ktu fln na uoga - ni kujenga au kuweka na kuamin kuwa jambo au ktu fln ni kbaya n:b ni mtazamo lkn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom