Naomba kujuzwa maana ya msemo huu

Naomba kujuzwa maana ya msemo huu

yun mo

Member
Joined
Oct 6, 2020
Posts
20
Reaction score
12
Habari zenu waungwana,

Naombeni msaada wenu, juu ya maana ya neno "Asha kum si Matusi"

Maana watu hulitumia na kuweka neno la tusi mfano; Asha kum si matusi - Mbwa wewe.
 
Back
Top Bottom