Amos Chunji
Member
- Jul 15, 2019
- 22
- 8
Nini maana ya neno bofu/bofre? Nawasikia watu wa mwambao wanalitumia sana neno hili.
Msaada tafadhali
Msaada tafadhali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] hata mim kuna wakati nlkuwa najua labda bofu ndo boflo yaan mkateMie nnayependa kulakula akili yangu imewaza mkate wa Boflo...
Halafu zamaniii, humu jukwaani kulikuwa na memba anajiita Boflo, sijui aliishia wapi....