Naomba kujuzwa maana ya neno Bofu/ Bofree

Amos Chunji

Member
Joined
Jul 15, 2019
Posts
22
Reaction score
8
Nini maana ya neno bofu/bofre? Nawasikia watu wa mwambao wanalitumia sana neno hili.

Msaada tafadhali
 
Mie nnayependa kulakula akili yangu imewaza mkate wa Boflo...

Halafu zamaniii, humu jukwaani kulikuwa na memba anajiita Boflo, sijui aliishia wapi....
 
Mie nnayependa kulakula akili yangu imewaza mkate wa Boflo...

Halafu zamaniii, humu jukwaani kulikuwa na memba anajiita Boflo, sijui aliishia wapi....
[emoji1] hata mim kuna wakati nlkuwa najua labda bofu ndo boflo yaan mkate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…