Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kusafirisha mizigo Arusha

Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kusafirisha mizigo Arusha

Kurutu wa Mungu

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2017
Posts
366
Reaction score
578
Msaada kwa anayejua kampuni nzuri ya basi Dar to Arusha, inayosafirisha mizigo kwa usalama na kwa muda sahihi, na ofisi zao zinapopatikana, nina mzigo kama kilo 10 unahitajika haraka sana ufike Arusha
 
Msaada kwa anayejua kampuni nzuri ya basi Dar to Arusha, inayosafirisha mizigo kwa usalama na kwa muda sahihi, na ofisi zao zinapopatikana, nina mzigo kama kilo10 unahitajika haraka sana ufike Arusha
Mabasi yote hufika sawa hio haraka yako labda utumie DHL ipakiwe kwenye ndege,

Mabasi ya kwanza kutoka Dar huingia Arusha kuanzia saa 9
 
Mabasi yote hufika sawa hio haraka yako labda utumie DHL ipakiwe kwenye ndege,

Mabasi ya kwanza kutoka Dar huingia Arusha kuanzia saa 9
Asante jibu zuri sana manake akisema aende posta now days ems na register hazina utofaut na somrtimes unaweza kuta mzigo unakaa adi wiki .
 
Back
Top Bottom