Naomba kujuzwa mahitaji ya Muhimu kwa ajili ya biashara ya ice cream (lambalamba)

Naomba kujuzwa mahitaji ya Muhimu kwa ajili ya biashara ya ice cream (lambalamba)

Gakon

Senior Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
123
Reaction score
855
Habarini wanajamvi bila shaka mu wazima wa afya,

Poleni na shughuli za kila siku za kuendesha maisha,

nahitaji msaada wenu wa mawazo kuhusu vifaa muhimu vya kuwa navyo kuendesha biashara ya lambalamba maana nataka nimfungulie mke wangu asikae kizembe nyumbani.

Nimefuatilia kidogo nikaona kuna mashine spesho ila gharama zake naona sitaweza kuzimudu hivyo nataka kutumia friji au freezer la kawaida,, sasa hapa nahitaji ushauri kipi kitafaa zaidi kati ya hivi viwili?

Pia machimbo yanakopatikana vifaa hivyo pichani,,mimi nipo mkoani ila nina mtu wangu wakunichukulia hata ikiwa dar es salaam.

natanguliza shukrani kwa mawazo yenu maana yatakua muhimu sana kwangu.

IMG_20240125_153543.JPG
 
Back
Top Bottom