Naomba kujuzwa mambo yakuzingatia wakati wa kununua gari kisheria

Naomba kujuzwa mambo yakuzingatia wakati wa kununua gari kisheria

Joined
Oct 7, 2022
Posts
13
Reaction score
10
Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria.

Msaada
 
Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria.

Msaada
Moja ni lazima mwanasheria afanye search
TRA
POLICE
BIMA
kama anayeuza ameoa au kuolewa lazima kuwepo wa utayari wa mwenza

Isiwe na mgogoro mirathi

Utasainiwa mkataba wenye vigezo vya kisheria

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom