Mohamed rubawa Member Joined Oct 7, 2022 Posts 13 Reaction score 10 Dec 25, 2022 #1 Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria. Msaada
Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria. Msaada
chapangombe JF-Expert Member Joined Sep 28, 2014 Posts 374 Reaction score 325 Dec 26, 2022 #2 Mohamed rubawa said: Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria. Msaada Click to expand... Moja ni lazima mwanasheria afanye search TRA POLICE BIMA kama anayeuza ameoa au kuolewa lazima kuwepo wa utayari wa mwenza Isiwe na mgogoro mirathi Utasainiwa mkataba wenye vigezo vya kisheria Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Mohamed rubawa said: Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria. Msaada Click to expand... Moja ni lazima mwanasheria afanye search TRA POLICE BIMA kama anayeuza ameoa au kuolewa lazima kuwepo wa utayari wa mwenza Isiwe na mgogoro mirathi Utasainiwa mkataba wenye vigezo vya kisheria Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app