Naomba kujuzwa maslahi ya wafanyakazi NHIF

Naomba kujuzwa maslahi ya wafanyakazi NHIF

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF,

1. Mishahara,
2. Mikopo,
3. Safari za nje,
4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
 
Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF,

1. Mishahara,
2. Mikopo,
3. Safari za nje,
4. Posho za vikao, ufuatiliaji,

Pata ABC hapo.
 
Ukiajiriwa tu unaweza kukopeshwa hadi 200m. Michango ya wanachama si ipo?
Aisee neema juu ya neema. Halafu unaweza kukuta wao bima ya afya wanakata za private au nje ya nchi kabisa.
 
Back
Top Bottom