Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF,
1. Mishahara,
2. Mikopo,
3. Safari za nje,
4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
Ukiajiriwa tu unaweza kukopeshwa hadi 200m. Michango ya wanachama si ipo?Mwenye kujua maslahi ya staff NHIF,
1. Mishahara,
2. Mikopo,
3. Safari za nje,
4. Posho za vikao, ufuatiliaji,
KabisaaaaAisee neema juu ya neema. Halafu unaweza kukuta wao bima ya afya wanakata za private au nje ya nchi kabisa.