Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

Naomba kujuzwa maswali ya usaili NACTE

Fighter8

Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
23
Reaction score
68
Habari zenu wapendwa!

Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya Coordinator of Curriculum Assessment.

Natanguliza shukrani
 
subiri wajuzi wa mambo waje tupate dondoo za kujibu written
 
Tutsmbuane tupp wengi hapa mm ntahudhuria coordinator of institute of guidance and support,atayefanya hii post anitag tufahamiane
 
Habari zenu wapendwa!

Poleni kwa majukumu mbalimbali. Samahani, naomba kwa anaefaham maswali ya written interview ya NACTVET nafasi ya COORDINATOR OF CURRICULUM ASSESSMENT.

Natanguliza shukrani
Mkuu mm kwa mawazo yangu nadhani watatoa aptitute test kwa maana maswali ya kupima ufahamu na kuhusiana na hiyo post yako
Soma yanayohusu NACTVET pia hayo ni mawazo yangu
 
Mkuu mm kwa mawazo yangu nadhani watatoa aptitute test kwa maana maswali ya kupima ufahamu na kuhusiana na hiyo post yako
Soma yanayohusu NACTVET pia hayo ni mawazo yangu
Hii imekaa poa lazma tujue taasisi tunayoenda kuifanyia interview
 
Back
Top Bottom