Naomba kujuzwa mazao yanayovunwa kwa wingi mwezi Machi - Aprili mkoani Morogoro

Bhang pure

Member
Joined
Feb 5, 2021
Posts
10
Reaction score
8
Habarini Wana JF

Naomba kufahamishwa juu ya mazao yanayovunwa kwa wingi mkoani Morogoro kwa mwezi March-April, pia na vijiji ambavyo mazao hayo yanapatikana kwa wingi.

Natanguliza shukrani.
 
Mkubwa kwa nini umeilenga morogoro,tushituane mkuu
 
Habarini Wana JF

Naomba kufahamishwa juu ya mazao yanayovunwa kwa wingi mkoani Morogoro kwa mwezi March-April, pia na vijiji ambavyo mazao hayo yanapatikana kwa wingi.

Natanguliza shukrani.
Kwa kilimo cha msimu na mazao yake hasa Ni Mahindi-karibu Jimbo la kisiasa la Mlimba ndio rahisi kwa miezi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…