Naomba kujuzwa mchakato wa kupata kibali cha kuagiza sukari nje

Naomba kujuzwa mchakato wa kupata kibali cha kuagiza sukari nje

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
16,207
Reaction score
14,343
Naombeni process, mchakato mzima mtu anapaswa kufanya anapotaka kuagiza sukari nje.

Kwa kiwango Cha small scale
 
Ili kupata kibali kwanza uwe mzalishaji wa ndani, pili tupate taarifa ya upungufu wa hiyo sukari tatu uonyeshe wapi unaitoa.
 
Utatumia fedha za kigeni, kumbuka pia tuna uhaba wa fedha za kigeni
  • Nenda kwenye bank yako watakupatia abc
  • Nenda TRA nao watakupatia abc
 
Back
Top Bottom