Naomba kujuzwa mchanganuo befoward

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
Naomba kujuzwa kuhusu izi gharama za uagizaji befoward ndio izo zinazoonekana kwenye bidhaa pekee au itaghalimu pesa nyingine adi ndinga inaingia mkononi nisije kuagiza kichwakichwa ikaozea bandarini.


 
Naomba kujuzwa kuhusu izi gharama za uagizaji befoward ndio izo zinazoonekana kwenye bidhaa pekee au itaghalimu pesa nyingine adi ndinga inaingia mkononi nisije kuagiza kichwakichwa ikaozea bandariniView attachment 2234795
Kodi na gharama zingine andaa kama 16m jumla unaiweka mkononi
 
Kumbe kuagiza mlima mrefu kwa mfano kama iyo adi unaitia mkononi inafika ngapi.
 
Agiza gari hio 3410£ Mpaka bandarini dar,ukiweka na ushuru wa tra na forodha kama milion 7 unaishika mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…