anold johny
Member
- Aug 7, 2017
- 13
- 27
Hii issue imekuwa siri kubwa sana kwa wafugaji wa Nguruwe. Binafsi nimeshafanya efforts za kuwasiliana na wafugaji wa Nguruwe wakubwa tu, na hata kutembelea mashamba yao....watakujibu kuwa hiyo ndio success formula yao kwenye soko la nyama ya Nguruwe.Habari ndungu,
Unajua gharama za utafiti?Hii issue imekuwa siri kubwa sana kwa wafugaji wa Nguruwe. Binafsi nimeshafanya efforts za kuwasiliana na wafugaji wa Nguruwe wakubwa tu, na hata kutembelea mashamba yao....watakujibu kuwa hiyo ndio success formula yao kwenye soko la nyama ya Nguruwe.
Sijui kwa nini kuna uguu wa kushirikishana hizi formula, hasa toka kwa wafugaji wenye uzoefu ambao wameshajaribu formula nyingi kiasi wanajua for sure what works better.
Sijui. Lakini hata kama ni kubwa, si sababu ya kunyima watu ujuzi. Ujuzi unaweza ukashare bure, au ukatoza fedha/gharama. Tatizo ni kuwa wengi wa wafugaji wenye uzoefu wanabani hili, hata kwa fedha. Nimeshaomba wafugaji kadhaa kunifanyia kama consultancy nilipe, bado wazito.Unajua gharama za utafiti?
1) Nawe anzisha utafiti wako ndipo utajua gharama halisi, Kisha uone kama uwekezaji uliofanya unaweza kugawiwa bure.Sijui. Lakini hata kama ni kubwa, si sababu ya kunyima watu ujuzi. Ujuzi unaweza ukashare bure, au ukatoza fedha/gharama. Tatizo ni kuwa wengi wa wafugaji wenye uzoefu wanabani hili, hata kwa fedha. Nimeshaomba wafugaji kadhaa kunifanyia kama consultancy nilipe, bado wazito.
Ahsante kwa mawazo yako mgando. Na haya ndiyo yanayorudisha nyuma maendeleo...kwama aukijua kitu basi uendekeze u-mimi😕, kwamba ni mimi tu najua..mimi tu can get it right...pathetic!1) Nawe anzisha utafiti wako ndipo utajua gharama halisi, Kisha uone kama uwekezaji uliofanya unaweza kugawiwa bure.
2) Hao unaowafuata wakufundishe wanakuona huna hela ya kuwalipa. Ukiwa na hela utajua "mtu gani umfate na sehemu gani"!.