Naomba kujuzwa, midadi ni nini?

Naomba kujuzwa, midadi ni nini?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Wakuu poleni na shamrashamra za kujiandaa kuhamia Dodoma kwa watakao bahatika.

Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midadi hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana jana wakati naangalia ile michezo ya mieleka gheto na rafiki yangu mimi nilikuwa nimekaa chini kwenye zulia yeye kakaa juu kwenye sofa.

Wakati kule uwanjani mmoja kadoshwa chini yule mwingine akapanda juu kwenye zile kamba akamrukia yule wa chini kwa nguvu zote, sasa hapo hapo yule rafiki yangu aliokaa kwenye sofa nae akanirukia mimi mgongoni, kusema na ukweli niliumia sana sehemu za mbavuni, sasa wakuu nimemuuliza eti anasema midadi.

Wakuu naomba kujuzwa hiyo midadi ndo nini?
 
Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midada hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana jana wakati naangalia ile michezo ya mieleka gheto na rafiki yangu mimi nilikuwa nimekaa chini kwenye zulia yeye kakaa juu kwenye sofa.

Wakati kule uwanjani mmoja kadoshwa chini yule mwingine akapanda juu kwenye zile kamba akamrukia yule wa chini kwa nguvu zote, sasa hapo hapo yule rafiki yangu aliokaa kwenye sofa nae akanirukia mimi mgongoni, kusema na ukweli niliumia sana sehemu za mbavuni, sasa wakuu nimemuuliza eti anasema midadi.

Wakuu naomba kujuzwa hiyo midadi ndo nini?
Kwann usinge muuliza aliye kuambia?
 
Akina Dadi wakiwa wengi, yaani ni uwingi wa Dadi....... Usitafute jibu lingine watakupotosha.
 
Wakuu poleni na shamrashamra za kujiandaa kuhamia Dodoma kwa watakao bahatika.

Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midadi hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana jana wakati naangalia ile michezo ya mieleka gheto na rafiki yangu mimi nilikuwa nimekaa chini kwenye zulia yeye kakaa juu kwenye sofa.

Wakati kule uwanjani mmoja kadoshwa chini yule mwingine akapanda juu kwenye zile kamba akamrukia yule wa chini kwa nguvu zote, sasa hapo hapo yule rafiki yangu aliokaa kwenye sofa nae akanirukia mimi mgongoni, kusema na ukweli niliumia sana sehemu za mbavuni, sasa wakuu nimemuuliza eti anasema midadi.

Wakuu naomba kujuzwa hiyo midadi ndo nini?
Subiri wafike dodoma ndio ujue midadi na Mikurupuko kama ni jamii ya maneno mamoja.
 
Midadi--Me dead sema unajua wabongo lugha ya malkia hatuwezi kuitamka vizuri
 
Yesu wanguu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
Wakuu poleni na shamrashamra za kujiandaa kuhamia Dodoma kwa watakao bahatika.

Husika na tittle hapo juu naomba kujuzwa hii midadi hua ni nini maana na jiandaa kwenda kupiga xyray ya mbavu maana jana wakati naangalia ile michezo ya mieleka gheto na rafiki yangu mimi nilikuwa nimekaa chini kwenye zulia yeye kakaa juu kwenye sofa.

Wakati kule uwanjani mmoja kadoshwa chini yule mwingine akapanda juu kwenye zile kamba akamrukia yule wa chini kwa nguvu zote, sasa hapo hapo yule rafiki yangu aliokaa kwenye sofa nae akanirukia mimi mgongoni, kusema na ukweli niliumia sana sehemu za mbavuni, sasa wakuu nimemuuliza eti anasema midadi.

Wakuu naomba kujuzwa hiyo midadi ndo nini?
Kuhamia dodoma sio bahati.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole sana mkuu
 
Asante ase mkuu nishapaka violin ile dawa ya kuchua maana jamaa alitaka kunivunja haki ya mungu!!!
 
Midadi ni hali involuntary act..inamtokea mtu anapoangalia act mfano kwny tv anajikuta na yy anaimitate au anaiga kile anachokiona...
Jaman tuwe serious mtu anapoiliza jambo nyinyi mwaleta mzaha :-[:-[
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom