L Lotus 123 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2021 Posts 3,151 Reaction score 5,513 May 19, 2022 #1 Wadau nataka kufahamu mishahara ya maafisa utumishi kwa level ya degree inaanzia garaja gani
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 48,444 Reaction score 194,235 May 19, 2022 #2 Muulize Sandali Ali yeye ni mtumishi mkuu
Mwamuzi wa Tanzania JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 15,486 Reaction score 45,256 May 19, 2022 #3 Depal said: Muulize Sandali Ali yeye ni mtumishi mkuu Click to expand... Ahahahaha Sema taasisi tukupe majibu. Ila kwa kuanzia wanaanza na 720000
Depal said: Muulize Sandali Ali yeye ni mtumishi mkuu Click to expand... Ahahahaha Sema taasisi tukupe majibu. Ila kwa kuanzia wanaanza na 720000
schizoid-man JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 402 Reaction score 389 May 19, 2022 #4 TCRA na Wakala wa Misitu ni kiasi gani mkuu
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,796 Reaction score 5,553 May 19, 2022 #5 Inatofautiana na taasisi mkuu kuna wanaolamba laki saba na uchafu, wapo laki nane, laki tisa mpk milion
Inatofautiana na taasisi mkuu kuna wanaolamba laki saba na uchafu, wapo laki nane, laki tisa mpk milion
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 May 19, 2022 #6 Ujapata kazi unaanza kuulizia mshahara
The Monk Platinum Member Joined Oct 12, 2012 Posts 20,242 Reaction score 45,930 May 19, 2022 #7 genetic said: Ujapata kazi unaanza kuulizia mshahara Click to expand... Unatakiwa kuishi Kwa Imani mkuu. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo.
genetic said: Ujapata kazi unaanza kuulizia mshahara Click to expand... Unatakiwa kuishi Kwa Imani mkuu. Imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 May 19, 2022 #8 Mm sijapata kazi ila wenzangu huko wanalipwa 650k