Mama Peter
New Member
- May 12, 2023
- 2
- 0
Naomba Kuuliza anaefahamu muda wa marejesho ya Mikopo ya Amana Bank Mfano nikichukua vifaa Vya ujenzi vyenye thamani ya m.20 Muda maximum wa kurejesha ni miaka mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Milioni 20 kwa mwaka mmoja , faida Yao ni asilimia 14
20000000×0.14 =2800000 faida Yao sasa milioni 20000000+28000000=22800000
Jumla kuu . Unachukua 22800000÷kwa miezi 12=1900000 ,marejesho kwa mwezi mkuu njoo inbox nitakuelewesha maana na Mimi ndio nachukulia hapo mkopo
What's up 0768038199Milioni 20 kwa mwaka mmoja , faida Yao ni asilimia 14
20000000×0.14 =2800000 faida Yao sasa milioni 20000000+28000000=22800000
Jumla kuu . Unachukua 22800000÷kwa miezi 12=1900000 ,marejesho kwa mwezi mkuu njoo inbox nitakuelewesha maana na Mimi ndio nachukulia hapo mkopo
Hivi Amana Bank wanatoza RibaMilioni 20 kwa mwaka mmoja , faida Yao ni asilimia 14