Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
kuna daktari nilimsikiliza alikua anahojiwa na clouds alisema kwamba kile kifaa kinakaa na chaji kwa muda mrefu na yelu mtoto kuna clinic waliompa ili wajue maendeleo yake na endapo charge ikiisha anafanyiwa opereshen ndogo wanakichaji kile kifaa maisha yanaendelea kama kawaidaNdani ya wiki hii iliyoishia jana tarehe 17 /07 /2016 Hospital yetu ya taifa ya Muhimbili kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete kilimfanyia upasuaji wa moyo mtoto wa miaka Mitano kwa kumuwekea kifaa kinachojulikana kwa Jina peacemaker ili moyo wa huyu mtoto ufanye kazi kama kawaida. Operation hii ilifanikiwa 100 %.
Maswali ambayo naomba kujibiwa. Je Hicho kifaa kina umbile gani? cha chuma? Na nmesikia kinachaji. je? Chaji ikiisha kinachajiwa?, na kinachajiwaje?, Chaji hiyo hudumu kwa Muda gani na kikiharibika je kinabadilishwa? Mwisho, hakina madhara kwa Muda mrefu?
Shukrani mkuukuna daktari nilimsikiliza alikua anahojiwa na clouds alisema kwamba kile kifaa kinakaa na chaji kwa muda mrefu na yelu mtoto kuna clinic waliompa ili wajue maendeleo yake na endapo charge ikiisha anafanyiwa opereshen ndogo wanakichaji kile kifaa maisha yanaendelea kama kawaida
Kweli ndugu yanguDah.. Sisi tulio wazia yatupasa kumshukuru Mungu sana aise
Kwa maelezo hayo bado ana mtihani wa kufanyia operations mara kadhaa katika maisha yake, Mungu amlinde huyu mtotokuna daktari nilimsikiliza alikua anahojiwa na clouds alisema kwamba kile kifaa kinakaa na chaji kwa muda mrefu na yelu mtoto kuna clinic waliompa ili wajue maendeleo yake na endapo charge ikiisha anafanyiwa opereshen ndogo wanakichaji kile kifaa maisha yanaendelea kama kawaida
Umeuliza jambo linalo tufikilisha wengi. Ila utaishia kuona Viewers wengi kuliko ambao wangekujibu, kwa hali hiyo utambue swali ni kubwa.Ndani ya wiki hii iliyoishia jana tarehe 17 /07 /2016 Hospital yetu ya taifa ya Muhimbili kitengo cha Moyo cha Jakaya Kikwete kilimfanyia upasuaji wa moyo mtoto wa miaka Mitano kwa kumuwekea kifaa kinachojulikana kwa Jina peacemaker ili moyo wa huyu mtoto ufanye kazi kama kawaida. Operation hii ilifanikiwa 100 %.
Maswali ambayo naomba kujibiwa. Je Hicho kifaa kina umbile gani? cha chuma? Na nmesikia kinachaji. je? Chaji ikiisha kinachajiwa?, na kinachajiwaje?, Chaji hiyo hudumu kwa Muda gani na kikiharibika je kinabadilishwa? Mwisho, hakina madhara kwa Muda mrefu?