Naomba kujuzwa namna ya kuandika anuani ya makazi

Naomba kujuzwa namna ya kuandika anuani ya makazi

Hamissi Hamza Jr

Senior Member
Joined
Apr 16, 2020
Posts
103
Reaction score
209
Habarini za asubuhi wa JF,

Poleni na Msiba wa Taifa kwa kumpoteza aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Hayatti Dr John Magufuli.

Naomba Kufahamishwa jinsi ya kuandika anuani ya makazi kwa wanaofahamu na wenye uzoefu na hayo mambo.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom