Hamissi Hamza Jr Senior Member Joined Apr 16, 2020 Posts 103 Reaction score 209 Mar 20, 2021 #1 Habarini za asubuhi wa JF, Poleni na Msiba wa Taifa kwa kumpoteza aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Hayatti Dr John Magufuli. Naomba Kufahamishwa jinsi ya kuandika anuani ya makazi kwa wanaofahamu na wenye uzoefu na hayo mambo. Naomba kuwasilisha.
Habarini za asubuhi wa JF, Poleni na Msiba wa Taifa kwa kumpoteza aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Hayatti Dr John Magufuli. Naomba Kufahamishwa jinsi ya kuandika anuani ya makazi kwa wanaofahamu na wenye uzoefu na hayo mambo. Naomba kuwasilisha.
Narubongo JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 2,768 Reaction score 2,753 Mar 20, 2021 #2 Majina yako 3, nchi, mkoa, wilaya, tarafa, kata, mtaa, barabara, namba ya kiwanja
Hamissi Hamza Jr Senior Member Joined Apr 16, 2020 Posts 103 Reaction score 209 Mar 21, 2021 Thread starter #3 Narubongo said: Majina yako 3, nchi, mkoa, wilaya, tarafa, kata, mtaa, barabara, namba ya kiwanja Click to expand... Asante mkuu
Narubongo said: Majina yako 3, nchi, mkoa, wilaya, tarafa, kata, mtaa, barabara, namba ya kiwanja Click to expand... Asante mkuu
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 21, 2021 #4 Natumae umepata muongozo...
Hamissi Hamza Jr Senior Member Joined Apr 16, 2020 Posts 103 Reaction score 209 Mar 21, 2021 Thread starter #5 Smart911 said: Natumae umepata muongozo... Click to expand... Naam kaka tayari nimepata mwanga