Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Sio Radio ni Dashboard nzima hasa Navigationjina la redio? maana kuna baadhi ya models za redio ziliuzwa special kwaajili ya japan tu kwahiyo kubadirisha haiwezekani kabisa. ata ramani yake utakuta inaonesha unazurura japan mara umeingia baharini basi vurugu tu. cha kufanya apo nenda lumumba wakakuwekee android redio.
Hizi redio za android nataka kufunga aisee Ila sijajua matumizi yake hasa kama zinatumia LINE au itabidi niunge hotspot na simu yangujina la redio? maana kuna baadhi ya models za redio ziliuzwa special kwaajili ya japan tu kwahiyo kubadirisha haiwezekani kabisa. ata ramani yake utakuta inaonesha unazurura japan mara umeingia baharini basi vurugu tu. cha kufanya apo nenda lumumba wakakuwekee android redio.
Hata mimi nasubiri ushauri hapa!Wadau mimi ni Mmiliki wa Toyota Harrier.
Kwenye Dashboard Maandishi yapo kwa Lugha ya Kijapani
Naomba Msaada wenu NAMNA ya kuyabadilisha Yasomeke kwa KIINGEREZA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mkuu na Mimi ninahitaji radio nzuri ya gari. Shida Mimi siyo mjuzi hivyo nikienda Lumumba vijana wasije kunifanyia mambo Fulani. Please, advice.jina la redio? maana kuna baadhi ya models za redio ziliuzwa special kwaajili ya japan tu kwahiyo kubadirisha haiwezekani kabisa. ata ramani yake utakuta inaonesha unazurura japan mara umeingia baharini basi vurugu tu. cha kufanya apo nenda lumumba wakakuwekee android redio.
Options zipo kibao. Ila nyingi zina laini. Yaani ni kama tu umeweka Tablet (simu kubwa) kwenye dash.Hizi redio za android nataka kufunga aisee Ila sijajua matumizi yake hasa kama zinatumia LINE au itabidi niunge hotspot na simu yangu
Simjui kabisa mtaalamu ila ni vema ukafanya kwanza uchunguzi kabla haujaenda.Mkuu na Mimi ninahitaji radio nzuri ya gari. Shida Mimi siyo mjuzi hivyo nikienda Lumumba vijana wasije kunifanyia mambo Fulani. Please, advice.
Mkuu..nenfa Lufungira hPo Mwenge kwa dr_toyota. Unaeza mcheki hata ig. Anazo kali sanaMkuu na Mimi ninahitaji radio nzuri ya gari. Shida Mimi siyo mjuzi hivyo nikienda Lumumba vijana wasije kunifanyia mambo Fulani. Please, advice.
Nenda kenya kuna mwamba anasoftwear anaitwa Edmond inasoma pote Kingerza badala ya kijapan ila kwa bongo sijaona mwenye softwear hiyoWadau mimi ni Mmiliki wa Toyota Harrier.
Kwenye Dashboard Maandishi yapo kwa Lugha ya Kijapani.
Naomba Msaada wenu NAMNA ya kuyabadilisha Yasomeke kwa KIINGEREZA
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ubarikiwe sana mkuuNJIA 4AHISI KABISA YA KUSOMA LUGHA YEYOTE ILIO ANDIKWA SEHEMU NI KUTUMIA APP YA GOOGLE TRANSLATE.
UKIWA NAYO, NENDA OPTION YA CAMERA NA ELEKEZA KWENYE HIYO DASHBOARD YAKO NA MANENO YATAKUJA KWA LUGHA ULIOJAGUA KUTAFSIRI HICHO KIJAPAN LET'S SAY KWENDA KIINGEREZA THEN TAFUTA MENU, SETTINGS THEN CHANGE LANGUAGE.
I HOPE THIS INFO IS HELPFUL TO YOU AND OTHERS.
Dashboard nzima ukimaanisha hata mileage (Kms) imeandikwa Kijapan?)
Ukienda lumumba ingia straight dukani nunua redio katafute fundi akufungie. Usiwaoe vijana wa lumumba wafunge...utajuta. wezi na wahuni. Hata dicksound haaminiki skuiz. Kiufupi achana na vijiwe vya wafunga redioMkuu na Mimi ninahitaji radio nzuri ya gari. Shida Mimi siyo mjuzi hivyo nikienda Lumumba vijana wasije kunifanyia mambo Fulani. Please, advice.
Shukrani saaana mkuu. Nitafanya hivyo.Ukienda lumumba ingia straight dukani nunua redio katafute fundi akufungie. Usiwaoe vijana wa lumumba wafunge...utajuta. wezi na wahuni. Hata dicksound haaminiki skuiz. Kiufupi achana na vijiwe vya wafunga redio
Kawaida wataiba nini kwene gari cha haraka, tusaidie mkuu.Ukienda lumumba ingia straight dukani nunua redio katafute fundi akufungie. Usiwaoe vijana wa lumumba wafunge...utajuta. wezi na wahuni. Hata dicksound haaminiki skuiz. Kiufupi achana na vijiwe vya wafunga redio