Naomba kujuzwa namna ya kupata ajira za Sudan Kusini

Naomba kujuzwa namna ya kupata ajira za Sudan Kusini

stevhinoz

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2021
Posts
228
Reaction score
509
Ninatamani kupata nafasi ya ajira South Sudan.

Kwa anayefahamu namna ya kupata ajira huko anisaidie.

Mimi nna uzoefu wa kazi miaka 10.

Nimefanya kwenye NGOs miaka 5+.

Miaka 5 kwenye education sector.

Nina elimu ya masters.

Bahati mbaya sina experience ya kufanya kazi kwenye emergency.
 
Unajua kutumia AK 47? Long range..?? Ant-air craft??
Au hata bastola haa ha, ama hata jambia la kimasai unaweza kwel?
Ama unajua kidogo zile marshal arts?
 
Unajua kutumia AK 47? Long range..?? Ant-air craft??
Au hata bastola haa ha, ama hata jambia la kimasai unaweza kwel?
Ama unajua kidogo zile marshal arts?
Oyaaa mbona unamtisha [emoji23]
 
Back
Top Bottom