Naomba kujuzwa namna ya kupata nafasi katika Engineering registration board (ERB)

Naomba kujuzwa namna ya kupata nafasi katika Engineering registration board (ERB)

Wadau samahanini!

Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje?

Msaada tafadhali
Ingia website ya ERB
Now wamerahisisha mfumo unajiregister online.

Lkn make sure una Cheti cha kuhitimu chuo,Cheti cha Form six or diploma na Cheti cha form four,kwaajili ya kuupload.

Sikuhizi wameanzisha utaratibu wa kupanga wenyewe ERB.Wanakupangia sehemu ukishajiregister.ingawaje nadhani pia kuna option ya kama umepata sehemu mwenyewe nayo wakaikubali
 
Asante Mkuu wangu!!nipo Tarura bro lkn sikuwa ndani ya program ya seap Ivo nilikuwa Naomb kujua nawezaje kupata fursa
Kama ujajisajili jisajili kwanza erb ..
Wakishatoa majina ya registered graduate,,
Utaingia kwenye account yako utaomba seap..
Ukishakua accepted watakutumia email utaomba sehem unazotaka kufanya watakupritia barua utapeleka kwenye taasisi unayotaka kufanya..
So for your case omba apo apo ulipo
 
Perfect bro!🙏Asante kwa hili bro
 
Back
Top Bottom