Engineer mussa ngelime
Member
- Sep 3, 2021
- 12
- 5
Ingia website ya ERBWadau samahanini!
Mimi ni graduate engineer hususan mambo ya ujenzi...nilikuwa napenda kujua ili upate nafasi ya seap ndani ya taasisi Fulani inakuwaje?
Msaada tafadhali
Tafuta kwanza intern ndo uunganishe na seap,Moses shukran Mkuu wangu 🙏
Asante Mkuu wangu!!nipo Tarura bro lkn sikuwa ndani ya program ya seap Ivo nilikuwa Naomb kujua nawezaje kupata fursaTafuta kwanza intern ndo uunganishe na seap,
Narudia tena tafuta intern kwanza ..
Kama ujajisajili jisajili kwanza erb ..Asante Mkuu wangu!!nipo Tarura bro lkn sikuwa ndani ya program ya seap Ivo nilikuwa Naomb kujua nawezaje kupata fursa
Perfect bro!🙏Asante kwa hili broKama ujajisajili jisajili kwanza erb ..
Wakishatoa majina ya registered graduate,,
Utaingia kwenye account yako utaomba seap..
Ukishakua accepted watakutumia email utaomba sehem unazotaka kufanya watakupritia barua utapeleka kwenye taasisi unayotaka kufanya..
So for your case omba apo apo ulipo
Your welcomePerfect bro!🙏Asante kwa hili bro
PamojaMoses shukran Mkuu wangu [emoji120]