Naomba kujuzwa namna ya kupika makange ya kitimoto

Cleym0_619

Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
33
Reaction score
37
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto!
Ni moja kati ya majina yake maarufu.

[emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
 
kitimoto nakumbuka kilikuwa kipindi cha paschal mayala itv miaka ileee, kuwaweka watu kitimoto na jina likatokea humohumo na likakaa vizuri kwelikweli.
 
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto!
Ni moja kati ya majina yake maarufu.

[emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
hayaitwi makange bali ni makaange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…