Hahahaha kwa hiyo mkuu hakuna nyingine?Hiyo ishu nishawahi tokewa nayo tkt urafi wangu wa kutaka kuona uzuri wa hiyo window ila sijui nilicheza mistake gani ile kuja kuwaka file zote holaaah!!! na partition zote zilifutika na kubaki mmoja kama pc mpya vile....
Mkuu, mie nina window 8 na 10. Nisaidie nafanyaje kuyarudisha mafaili maana nimepoteza mafaili kadhaa kwenye pc zote 2.Hiyo ishu nishawahi tokewa nayo tkt urafi wangu wa kutaka kuona uzuri wa hiyo window ila sijui nilicheza mistake gani ile kuja kuwaka file zote holaaah!!! na partition zote zilifutika na kubaki mmoja kama pc mpya vile...
Hata partition kwenye hiyo window ilinishinda kugawaHahahaha kwa hiyo mkuu hakuna nyingine?
Basi nisaidie na kufanya partition.
Download EaseUS Data Recover Wizard ila download kupitia torrent ili upate na key maana trial ya bila key wana limit kiasi cha size ya mafaili ya kurudisha uwezi kuzidi 1Gb nazani ila yenye key zakeMkuu, mie nina window 8 na 10. Nisaidie nafanyaje kuyarudisha mafaili maana nimepoteza mafaili kadhaa kwenye pc zote 2.
Ubarikiwe mno ndugu. Inalipiwa online kwanza au ni free app?Download EaseUS Data Recover Wizard ila download kupitia torrent ili upate na key maana trial ya bila key wana limit kiasi cha size ya mafaili ya kurudisha uwezi kuzidi 1Gb nazani ila yenye key zake
Size yoyote ya file ulizo poteza hata kama zilikua Tb 20 zote zinarudi
Asante sanaKama kakuambia udownload kwa torrent hakuna malipo mkuu, just install torrent then utakwenda kwenda aidha chrome or any uandike pirate
Torrent ni free ila ni kinyume cha sheria maana kule vitu vyote vinavyo lipiwa ziwe App , music album , movie kule ni bureeee Mb zako tu ila ukipitia google au browser nyingine kudownload utapewa app tu yenye masharti kwamba siku za kutumia free bila key ni 3 na limiti ya kurudisha files size isiyo zidi gb1Ubarikiwe mno ndugu. Inalipiwa online kwanza au ni free app?
Ubarikiwe mno ndugu. Inalipiwa online kwanza au ni free app?
Mkuu me naomba somo kidogo kuhusu hyo torrentTorrent ni free ila ni kinyume cha sheria maana kule vitu vyote vinavyo lipiwa ziwe App , music album , movie kule ni bureeee Mb zako tu ila ukipitia google au browser nyingine kudownload utapewa app tu yenye masharti kwamba siku za kutumia free bila key ni 3 na limiti ya kurudisha files size isiyo zidi gb1
Baada ya hizo siku tatu kuisha #utalazimika kulipia
Duh pole kama ni mgeni kabisa ungetafuta video kwanza za namna ya kufanya installation ya ubuntu halafu ndiyo uifanye. Au hapo kwenye windows ungetengeneza partition halafu ukaiingiza hapo ukawa na windows zote mbili halafu unachagua unayoitaka kuitumia usingepoteza mafaili yako. Pole sana wataalamu watakusaidia zaidi namna ya kufanya.Wakuu habarini za weekend!
Samahani nimefanya installation ya UBUNTU na kuondoa wibdow 10 ila mafaili yangu yakiopo kwenye window 10 siyaoni, pia nimeshindwa kufanya partition katika UBUNTU.
Naombe msaada wa kurudisha mafaili yangu na kufanya partition.
Shukrani.