Naomba kujuzwa namna ya kutrack laptop iliyoibiwa

Naomba kujuzwa namna ya kutrack laptop iliyoibiwa

Nadhani ushapata majibu mkuu.

Kama hukufunga jichange ukachukue nyingine.
 
Nipasie kipicha ili nijue mwonekano wake pia bei
Kama ivi. Vinakua na app/web interface View attachment 1722561
Screenshot_2021-03-11-08-59-34-76.jpg
 
Kinatakiwa kufungwa ndani ya kifaa husika. Kwa wengine wananunua na covers zake na betri wanavisha labda wanyama , mabegi ya watoto ili kuzuia wasipotee.
 
Hili ndio la msingi.

Na wengie wetu tunaonaga shida kufunga vile vi gps tracking boards. Na vinauzwa cheap aliexpress.
Hata hiyo gps tracking board inatolewa tu. Watu wana-disassemble pc yote na kuuza kifaa kimoja kimoja. Pole sana kwa alieibiwa na Mungu amjalie apate pc nyingine na aongeze umakini zaidi kwenye kuilinda.
 
Back
Top Bottom