A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Jun 29, 2021 #21 Matumona said: Hata hiyo gps tracking board inatolewa tu. Watu wana-disassemble pc yote na kuuza kifaa kimoja kimoja. Pole sana kwa alieibiwa na Mungu amjalie apate pc nyingine na aongeze umakini zaidi kwenye kuilinda. Click to expand... Daah, yaani kaka kama pale Machinga na Kkoo kwa Pasco unapata PC core i3 au 5 mpaka kwa Laki tano aisee, nahisi ndo michezo wanayofanya hawa watu.
Matumona said: Hata hiyo gps tracking board inatolewa tu. Watu wana-disassemble pc yote na kuuza kifaa kimoja kimoja. Pole sana kwa alieibiwa na Mungu amjalie apate pc nyingine na aongeze umakini zaidi kwenye kuilinda. Click to expand... Daah, yaani kaka kama pale Machinga na Kkoo kwa Pasco unapata PC core i3 au 5 mpaka kwa Laki tano aisee, nahisi ndo michezo wanayofanya hawa watu.
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Jun 29, 2021 #22 Aleyn said: Daah, yaani kaka kama pale Machinga na Kkoo kwa Pasco unapata PC core i3 au 5 mpaka kwa Laki tano aisee, nahisi ndo michezo wanayofanya hawa watu. Click to expand... laki 5 mbona ghali sana? pc mtumba i3 mpaka laki 2 zipo
Aleyn said: Daah, yaani kaka kama pale Machinga na Kkoo kwa Pasco unapata PC core i3 au 5 mpaka kwa Laki tano aisee, nahisi ndo michezo wanayofanya hawa watu. Click to expand... laki 5 mbona ghali sana? pc mtumba i3 mpaka laki 2 zipo
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 21,058 Reaction score 36,272 Jun 29, 2021 #23 Chief-Mkwawa said: laki 5 mbona ghali sana? pc mtumba i3 mpaka laki 2 zipo Click to expand... Hahaha kaka wapi hapo? Nipo kkoo muda huu. Sent using Jamii Forums mobile app
Chief-Mkwawa said: laki 5 mbona ghali sana? pc mtumba i3 mpaka laki 2 zipo Click to expand... Hahaha kaka wapi hapo? Nipo kkoo muda huu. Sent using Jamii Forums mobile app
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 31,559 Reaction score 42,179 Jun 29, 2021 #24 Aleyn said: Hahaha kaka wapi hapo? Nipo kkoo muda huu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... huko machinga zipo, na kwa kkoo usiende kule Uhuru wapigaji wengi siku hizi, mtaa wa likoma kuna maduka mengi ya pc ya kawaida,
Aleyn said: Hahaha kaka wapi hapo? Nipo kkoo muda huu. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... huko machinga zipo, na kwa kkoo usiende kule Uhuru wapigaji wengi siku hizi, mtaa wa likoma kuna maduka mengi ya pc ya kawaida,
Niache Nteseke JF-Expert Member Joined Apr 29, 2020 Posts 2,162 Reaction score 2,616 Jul 4, 2021 #25 Chief-Mkwawa said: huko machinga zipo, na kwa kkoo usiende kule Uhuru wapigaji wengi siku hizi, mtaa wa likoma kuna maduka mengi ya pc ya kawaida, Click to expand... Nakuamini Sheikh wangu...!
Chief-Mkwawa said: huko machinga zipo, na kwa kkoo usiende kule Uhuru wapigaji wengi siku hizi, mtaa wa likoma kuna maduka mengi ya pc ya kawaida, Click to expand... Nakuamini Sheikh wangu...!