Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
Habari.Habari,
Tulifungua company tulikuwa tupo wanne. Ila now wawili wanataka kujitoa katk company.
NAOMB USHAURi JINSi YA KUWATOA WASISOMEKE KATKA REGISTRATION ZA BRELA.
Please ushauri
Plz weka sauti kwa faida ya watu wote.....Hapa kunamambo mengi ya kuangalia kwanza mimi sio hodari wa kuandika ingekuwa naweza weka sauti ningejaribu kuweka ili kila mmoja apate faida maana nimemaliza kufanya huu mchakato mwezi uliopita
Naomba unicheki 0712790639 nitakusaidia kwa ushauri
Hiyo Point no 1, Kam kampuni ina miaka 3 imekaa je? Bcoz ndo naona njia simple.Habari.
Kuna namna mbili zilizo maarufu na zinazotumika kwa kiasi kikubwa.
1. Forfeiture of shares. Hii hutumika mara nyingi hasa pale ambapo mtu mnayetaka atolewe anakua hajalipia shares zake na mara nyingi hufanywa mwaka wa kwanza wa kampuni na mambo huwa sio mengi. Ni mchakato wa kuandaa barua na resolutions. Katika njia hii huwa ni muhimu anayetolewa awe ameridhia maana BRELA huwa wanawapigia simu kuhakiki so ikitokea jamaa akagomea mchakato huo akiulizwa na mtu wa BRELA hiyo imekwama.
2. Sale of shares.
Hii mara nyingi hutokea pale ambapo tayari mtu mnayetaka atolewe anakua alishazilipia shares zake tayari. BRELA watahitaji mkataba wa mauziano ya shares pamoja na tax clearance ili kuonesha kuwa kodi zote za serikali zimelipwa pamoja na resolutions na forms za BRELA.
Pia, japo sio kwa umuhimu; endapo unahitaji kusajili kampuni, jina la biashara, trademarks, hivyo kuhitaji usaidizi katika documentation, TRA E-filing, drafting and online filing kwa gharama nafuu na haraka, usisite kuwasiliana nami.
+255755963775 calls/WhatsApp