Naomba kujuzwa napoweza kupata Spare za gari (Nissan Tiida 2005)

Naomba kujuzwa napoweza kupata Spare za gari (Nissan Tiida 2005)

kimuri

Member
Joined
Jul 6, 2016
Posts
82
Reaction score
96
Msaada wa sehemu naweza pata spare za Nissan Tiida, (bumper la mbele na bearings) zinapiga kelele wakuu,

Locatioy: Dar/ Pwani

Tuzidi kujikinga na Corona.
1590512269095.png
 
Back
Top Bottom