mwalimu wenu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 203
- 19
Mi ni mwalimu mpya nmepangiwa Mtwara vijijini,naomba mwenye ufahamu ya bei ya nauli kutoka Dar to Mtwara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni mwalimu mpya nmepangiwa mtwara vijijini,naomba mwenye ufahamu ya bei ya nauli kutoka dar to mtwara.
Makao makuu ya mtwara vijijini yapo wapi jamani.Vipi mazingira ya huko kwa ujumla.
Kama waenda Newala zipo gari za Dar-Newala mwl
Mtwara to dar haizid shilingi 25000 , halafu wale wanaotaka kwenda newala nauli ni shilingi 25000 kwa mabasi ya Mahuta express, akida na nauli ya mtwara to Newala ni shilingi 6000 tu nawashauri kua mkoa wa mtwara kwa usafiri ni rahisi kwa mfano ukienda stendi ya mbagala rangitatu pale utapata magari ya Dar to newala moja kwa moja, kuna magari ya Dar to Masasi moja kwa moja afu kuna magari ya Dar to Tandahimba moja kwa moja hvo hauna haja ya kwenda hadi mtwara mjini