Punguza wanga na sukari. Tumia protini na fats, mboga mboga na matunda yenye sukari kidogo.
Tumia unga wenye low carbs kama wa mbegu za maboga, unga wa almond ikiwezekana na korosho kuandaa mapishi yako.
Tumia mafuta ya kupikia sahihi...try using coconut oil, samli, mafuta ya wanyama...n.k yana high heat resistance. Yakipikiwa kwenye joto Kali hayatengenezi vimelea vya simu (free radicals) vinavyoudhuru mwili sehemu mbalimbali.