S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,714 Mar 14, 2021 #1 Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua wanapouza pooltable mpya pamoja na bei yake, wauzaji wakiwa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi. Nb:kama huna cha kunijuza naomba upite kimya.
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua wanapouza pooltable mpya pamoja na bei yake, wauzaji wakiwa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi. Nb:kama huna cha kunijuza naomba upite kimya.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,961 Reaction score 25,325 Mar 14, 2021 #2 Hapa Arusha kuna sehemu wanayachonga. Unataka mangap mweshimiwa?
S Samson Ngomboli JF-Expert Member Joined Oct 30, 2019 Posts 1,598 Reaction score 2,714 Mar 14, 2021 Thread starter #3 Ollachuga Oc said: Hapa Arusha kuna sehemu wanayachonga. Unataka mangap mweshimiwa? Click to expand... Wanauzaje mkuu?
Ollachuga Oc said: Hapa Arusha kuna sehemu wanayachonga. Unataka mangap mweshimiwa? Click to expand... Wanauzaje mkuu?