Naomba kujuzwa njia za ziada za utongozaji

Joined
May 14, 2019
Posts
42
Reaction score
87
Kuna makundi meengi ya wanawake hasa nakusudia katika mgawanyo wa umri.

Mabaharia na wataalamu naombeni mbinu mbadala za ushawishaji (utongozaji) kulingana na mgawanyiko huu.

1. Umri Kati ya 18 - 22
2. Umri Kati ya 23 - 25
3. Umri Kati ya 26 - 30
4. Umri Kati ya 31 - 35
5. Umri Kati ya 36 - 45
6. Umri Kati ya 46 - 50.

Naomba ujuzi wako Kati ya nyumri hizo hapo juu.

NB
Kuuliza ni ujinga, Ila ukishajua si mjinga teeeeena.

Nawasilisha mezani

Themanininamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…