Naomba kujuzwa pa kupata taa ya nyuma ya gari langu Probox

Naomba kujuzwa pa kupata taa ya nyuma ya gari langu Probox

Nyamboboy

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2017
Posts
362
Reaction score
454
Husika na mada tajwa
Jana usiku kuna bodaboda amenigonga kwa nyuma akapasua taa yangu ya nyuma.Kama kuna mtu anaweza kuipata used Japan naomba tuwasiliane na bei yake.

Niko iringa

20220213_101526.jpg
 
Husika na mada tajwa
Jana usiku kuna bodaboda amenigonga kwa nyuma akapasua taa yangu ya nyuma.Kama kuna mtu anaweza kuipata used Japan naomba tuwasiliane na bei yake.

Niko iringa

View attachment 2123611
Nyambo,
Kwa nini uagizie japani? Hizo gari zimejaa Njombe hapo karibu na Iringa zipo nyingi sana. Spear zake ni za kumwaga mpya na used. Tafuta mtu Njombe hapo.
 
Jaribu kucheki kwenye mitandao ya ebay, Amazon na hata BeForward nk.

Utalinganisha bei na kwenye maduka yetu ya hapa Bongo utachagua wapi pa kuagiza kulingana na bei zao.
 
Back
Top Bottom