Naomba Kujuzwa Pass Mark Za Kwenda A Level

kagossey7

Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
27
Reaction score
0
Jamaan wadau kuna baadh ya shule za private wametangaza nafasi za fm 5 sifa unatakiwa uwe na d3 na kuendelea, naomba kufahamishwa kama ni kweli. shule hizo ni st pius, st thomas hata airwing
 
Jamaan wadau kuna baadh ya shule za private wametangaza nafasi za fm 5 sifa unatakiwa uwe na d3 na kuendelea,naomba kufahamishwa kama ni kweli.shule hizo ni st pius,st thomas hata airwing

Pass mark ni C mkuu. Wanachokifanya shule hizo za private ni hiki, baada ya mwanafunzi mwenye hizo D tatu kufika school, ata-resit na kupiga Advance kwa pamoja (Kama ataweza).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…