Na sio yana rangi mbili tu,ni zaidi ya rangi mbili,kwa mfano kila kampuni huwa wana rangi zao kwaiyo siku ikija kugundulika mafuta ya kampuni x ni mabovu ama machafu ewura inakuwa ni rahisi kufuatilia kwero izo,kama kuna siku tuliagiza mafuta baada yakugundua ivyo waliibaini iyo kampuni kupitia aina ya rangi