Naomba kujuzwa ratiba za minada inayoizunguka Dar es Salaam

Naomba kujuzwa ratiba za minada inayoizunguka Dar es Salaam

Confundido

Member
Joined
Mar 17, 2021
Posts
44
Reaction score
136
Wakuu mimi ni mgeni hapa.

Naomba kujuzwa minada ya Dar na karibu na Dar kama Pwani na Morogoro, minada ya bidhaa mchanganyiko.
 
Kongowe Kibaha Ijumaa, Mlandizi Jumapili WANAKUJA
 
Kibamba siku ya jumatano

Kule Loliondo Kibaha kuna mnada mkubwa sana siku ya jumamosi
 
Ijumaa Tegeta
Alhamis Kigambon Tungi
Jumanne Kigambon Mjimwema
Jumamosi Kinondoni Biafra
 
Maili moja(Kibaha) jumamosi,Kongowe ya Kibaha ijumaa, Mlandizi jumapili,Vigwaza alhamis.
 
Uzi kama huu unanipa picha kwamba JF ni kisima cha Mengi sana.Keep them coming
 
huwa kuna mnada nazani ni kila jumapili pale kibamba ccm...aiseee, kuna mbuzi kama wote wanachinjwa..ngoja siku moja nikatemebee huko
 
Back
Top Bottom