Confundido
Member
- Mar 17, 2021
- 44
- 136
Kigamboni. Siku~ Alhamisi.wakuu mimi ni mgeni hapa
naomba kujuzwa minada ya dar na karibu na Dar kama pwani na Morogoro, minada ya bidhaa mchanganyiko
Nishaenda sana kula mbuzi balaa hukoKibamba siku ya jumatano
Kule loliondo kibaha Kuna mnada mkubwa Sana siku ya jumamosi
Huu wa kibaha huwa una mbuzi eeee?Kibamba siku ya jumatano
Kule Loliondo Kibaha kuna mnada mkubwa sana siku ya jumamosi
Pale tungi tunapaita MNADANI.Ijumaa Tegeta
Alhamis Kigambon Tungi
Jumanne Kigambon Mjimwema
Jumamosi Kinondoni Biafra
Baada ya soko kuhamishiwa loliondo kule ndio wakaanza kuchinja na mbuzi kuje juu machinjioni njia ya kwenda Pangani.Huu wa kibaha huwa una mbuzi eeee?