Naomba kujuzwa ratiba za minada ya Lindi na Tunduru

Naomba kujuzwa ratiba za minada ya Lindi na Tunduru

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Habari zenu wandugu? Naomba kujua kuhusu ratiba za minada ya Lindi na Tunduru?

With much thanks in advance.
 
Minada ya Nini?Kama ni wale machinga Kila siku wako Vijiji tofauti.
 
Mwezi wa 10 minada inaanza kufunguliwa
 
Habari zenu wandugu? Naomba kujua kuhusu ratiba za minada ya Lindi na Tunduru?
With much thanks in advance

Minada.jpg
 
Minada ya Nini?Kama ni wale machinga Kila siku wako Vijiji tofauti.
Yes hiyo hiyo mkuu. Na kunakuwa na watu wengi? Nataka kujua jina la kijiji unapo fanyika mnada pamoja na siku husika
 
Minada ya Nini?Kama ni wale machinga Kila siku wako Vijiji tofauti.
Hiyo hiyo ya wamachinga mkuu nataka kujua ni minada ipi inakuwa na watu wengi na ratiba zake kwa maana ya siku gani mnada unakuwa kijiji gani?
 
mzee bado unaendeleza hrkt za kutafuta toto mbichi mbichi za kusini tu😂
 
Back
Top Bottom