teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Wadau naomba kujua sababu kubwa inayosababisha gari yangu aina ya noah sr40, tatuzo oil inaingia kwenye rejeta na kuyafanya maji yote kuwa oil, lkn maji hayaendi kwenye sampo ya oil.
Tatizo hili lilipoanza nilifunga head gascket nyungine lkn tatizo liko pale pale. Naomba kwa wenye uelewa tafadhali.
Tatizo hili lilipoanza nilifunga head gascket nyungine lkn tatizo liko pale pale. Naomba kwa wenye uelewa tafadhali.