Naomba kujuzwa sakafu ya chenga chenga

Naomba kujuzwa sakafu ya chenga chenga

kuxhinda

Senior Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
126
Reaction score
104
Wakuu msaada naomba kujua ile sakafu ya chenga chenga inaitwaje? Na je inaweza ikakaa kwenye chuma? nina kibanda changu cha biashara nataka nikiwekee hiyo sakafu ya chenga chenga.
 
Kwa square mita ufundi na material inagharimu 50,000...ufundi pekee yake ni 15,000/SM
 
Terrazzo ni bei nafuu, ni nzuri naoana pia inaokoa gharama
 
Ila ni maalum zaidi kwa maeneo yanayotumiwa na watu wengi.Pia jikoni na vyooni/bafuni .

Ila hukatazwi kuifanya kama floor ya kawaida but sio common na iko expensive kidogo
 
Tuwekeeni picha ili nasi tujue mnachokizungumzia jamani
Terrazo floor
Terrazzo%20Floor%20Pattern%20sticker%20.jpg
 
Ni nzuri ila garama zake ujipange. Machine ya kusugua, stick, changarawe zenyewe, cement rangi ya kuchanganyia kama utahitaji pamoja na garama ya fundi. Uwe umejikamilisha.
 
  • Thanks
Reactions: PYD
Back
Top Bottom