Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Najua tyres zinauzwa sana LIVINGSTONE na LUMUMBA streets, DSM.
Pole sana. Pia hongera kwakununua gari. Kwa usalama wako, usalama wa chombo chako na wengine, nakushauri jitahidi tu kununua matairi mapya bila kuangalia sana bei kwani hayo ya rahisi yana madhara yake, kwani mengi hayana viwango.
Vya bei rahisi havidumu, vinaumiza na kuleta hasara zaidi
[emoji3][emoji3][emoji3]buti za jejeAsante mkuu. Ni kweli ulichosema shida ni budget tu. Nimepanga kuweka hizi za bei rahisi kwanza then mambo yakikaa sawa naweka buti za JEJE.
[emoji3][emoji3][emoji3]buti za jeje
Nenda kwenye sehemu za kubadili matairi maeneo ya ushuani kama Masaki au Mikocheni uongee na wale wafanyakazi wakutafutie hizo tairi wakivua kwenye gari za kampuni au matajiri.
Unaweza kwenda Cruise Inn au the wheel waambie wafanyakazi wakutafutie tairi used zilizo katika hali nzuri.
Utapata Pirelli,Good ride,Yokohama used kwako zitakuwa mpya.
Pia tafuta connection za wale vijana wanaotumwa na matajiri kubadili tairi, utapata tyre za hitaji lako.
Hii 120k ni bei ya tairi zote nne au bei ya tairi moja? Kama kwa tairi moja unaweza pata goodride ambayo ni brand nzuri ya kichina
Sii ndogo hiyo.Ukiongeza kidogo unapata good year.195, 65, 15 ni 120,000Tairi moja kwa 120 mkuu
Ahahahaaaa akiache nyumbaniKule usiende na Kitambi
Duka lako lipo wapi? Hizi bei zinafikirisha. Hasa hiyo ya Dunlop.Mimi ni muuzaji wa matairi ya magari kwa size ya gari lako nina kampuni zifuatazo
Dunlop made in South Africa 140000
Goodride made in China 120000
Sportrack made in China 110000
Napatikana Kariakoo mtaa wa swahili na twiga
0714360270