Andres JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 502 Reaction score 815 Jan 31, 2021 #1 Wakuu Habari za muda huo wako unaposoma hii Ningependa kufahamishwa sheria na utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi ya Tanzania umekaeje kwa sasa ? Kwa mwenye uelewa wa hili, naomba maelezo mazuri tafadhali
Wakuu Habari za muda huo wako unaposoma hii Ningependa kufahamishwa sheria na utaratibu wa kumiliki silaha kwa nchi ya Tanzania umekaeje kwa sasa ? Kwa mwenye uelewa wa hili, naomba maelezo mazuri tafadhali
Mlolongo JF-Expert Member Joined Jul 4, 2019 Posts 3,483 Reaction score 6,257 Jul 17, 2021 #2 Sinza kwa Remmy noma
mahenda255 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 513 Reaction score 691 Jul 17, 2021 #3 Mbona uzi wa mda mrefu umekosa wachangiaji
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Jul 19, 2021 #4 mahenda255 said: Mbona uzi wa mda mrefu umekosa wachangiaji Click to expand... Huenda nulianzishwa na yule alieua mwenzake lemax
mahenda255 said: Mbona uzi wa mda mrefu umekosa wachangiaji Click to expand... Huenda nulianzishwa na yule alieua mwenzake lemax