Naomba kujuzwa shule nzuri ya nursary na primary dar

nkwilehi

Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
16
Reaction score
4
habarin wana jamvi naombeni kwa yeyote anaefahamu shule nzuri ya nursary au msingi ya kulipia naomba na contact zao kama unazijua utanisaidia sana. asante
 
nkwilehi kuna nursery school iko sea view pembeni ya kliniki ya moyo ya Dr Lwakatare. Ni nursery nzuri sana. Ipo chini ya mama Patricia Mawalla. Inaitwa Pat School. Mimi wanangu walitoka pale wakiwa na mwongozo mzuri sana, hususani wa kiingereza kilichonyoka. Tatizo ni upatikanaji wa nafasi, kwa kuwa wale wenye watoto pale hupendelewa kuleta wanafunzi wapya. Bahati mbaya hawana primary. Namba yake Patricia ni 0716303681.
 
Last edited by a moderator:
International academy,ipo mikocheni,hii shule wanasoma wadogo zangu,mmoja miaka minne,mwingine kumi na nne,wako vizuri san hawa,wanawafundisha watoto mambo mengi,jins ya kutumia choo kwa ufasaha,adabu njema,jinsi ya name vitu,ni shule ambayo pia wema sepetu alisomaga,kwa kiingereza ndo mahali pake
 

Don't dare with International academy, ni kweli atajua kiingereza but atatoka na bad manners,mfano mzuri umepwa ni huyo huyo wema sepaetu .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…