Naomba kujuzwa sifa za gari aina ya Suzuki Jimmy

Naomba kujuzwa sifa za gari aina ya Suzuki Jimmy

Mikito Mikito

Senior Member
Joined
Jan 15, 2020
Posts
183
Reaction score
1,089
Serikali na watu binafsi wanazitumia hizi gari. Binafsi naludia binafsi zinanivutia machoni japo sijui chochote kuhusu hizi gari

Napenda mnijuze sifa za hizi gari ziwe mbaya au nzuri zote kwa ujumla ningependa kuzijua

Pia kuhusu gari yenyewe.
FB_IMG_15892825234296434.jpg
FB_IMG_15892824820728895.jpg
 
Mkuu, hizi ni moja ya magari magumu yanayohili Offroad kwa sababu viko juu. Model nyingi ni 4WD. Nyingi ni 660cc japokuwa kuna 1300cc.

Ni gari fulani hv ambazo unaweza ukamodify urefu wa miguu na zikawa juu juu zaidi.
 
Very capable offroad, quite average on road. So hapo uangalie mahitaji yako. Kwa safari fupi fupi za mjini na kupandisha madongo kuinama kwetu huko, kako poa. Ila kwa safari kanaboa.
NB. Kanaitwa Jimny.
 
Back
Top Bottom