Mikito Mikito
Senior Member
- Jan 15, 2020
- 183
- 1,089
hata mwenye pikipiki anaweza kukupiga mkwara njiani na ukampisha mwenyewe kutokana na umbo la gari.hata sijui nimevutiwa nazo cjui labda zinaweza zikawa mbadala wa toyota ist
Well saidMkuu, hizi ni moja ya magari magumu yanayohili Offroad kwa sababu viko juu. Model nyingi ni 4WD. Nyingi ni 660cc japokuwa kuna 1300cc.
Ni gari fulani hv ambazo unaweza ukamodify urefu wa miguu na zikawa juu juu zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app