Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Ikiwa Kijana anataka kujiunga na Kikosi cha FFU awe na sifa zipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bara au visiwani?Ikiwa Kijana anataka kujiunga na Kikosi cha FFU awe na sifa zipi?
Visiwani lazima uwe legelege kazi unapataIkiwa Kijana anataka kujiunga na Kikosi cha FFU awe na sifa zipi?
Elimu gani? PhD?Labda urefu wa kutosha na elimu zaidi
Aisee, so mliachana kisa ya umasai?Nilishakuwa na bwana ffu, enzi hizo, mrefu kumbe Masai, wamasai wale wale wasiotobolewa alafu wakapelekwa shule, hajawai kusema, siku kupekua pekua nisione picha za kijijini kwao wamasai na mishuka shuka, Ila sikumwambia Wala Nini nikanyamaza mpaka tukaachana Basi, yeye mrefu na alipata mafunzo ya polisi akachaguliwa ffu, baadaye kapanda cheo sio ffu Tena.
We kweli mwanamke. Haya maelezo🤣Nilishakuwa na bwana ffu, enzi hizo, mrefu kumbe Masai, wamasai wale wale wasiotobolewa alafu wakapelekwa shule, hajawai kusema, siku kupekua pekua nisione picha za kijijini kwao wamasai na mishuka shuka, Ila sikumwambia Wala Nini nikanyamaza mpaka tukaachana Basi, yeye mrefu na alipata mafunzo ya polisi akachaguliwa ffu, baadaye kapanda cheo sio ffu Tena.
Harusi za Masai nadra tofaut na WachagaAisee, so mliachana kisa ya umasai?
Sio umasai sema ilitokea mistake, niliondoka mwanza kwa sista kwa muda kufika kule, nikapelekwa chuo, kipindi hiko kulikuwa wenye sm wachache tu sikuwa nayo, ye kajua nimeenda kuolewa kumbe Wala, kurudi nimekwenda, kanipokea vizuri tu, nimekaa chini kaniambia ulivyoondoka nilizani umeolewa, Kuna mwanamke nipo naye, mi sipend Mambo ya ugomvi, hapa line mtaweza kufanya fujo, ndo kisa kuachana, kwa Nini ukwenda kule ffu kuomba kupiga sim, mi kimya, Ila akiniona anasimamisha gari tunaongea tatizo Mara nyingi anakuwa na wenzake, na Kuna siku aliniambia sema nikusaidie Nini, nikamwambia siitaji msaada wowote, baadhi ya watu waminiambia mjinga kweli.Aisee, so mliachana kisa ya umasai?
FFU na police ni pande mbili kwenye shilingi mojaNilishakuwa na bwana ffu, enzi hizo, mrefu kumbe Masai, wamasai wale wale wasiotobolewa alafu wakapelekwa shule, hajawai kusema, siku kupekua pekua nisione picha za kijijini kwao wamasai na mishuka shuka, Ila sikumwambia Wala Nini nikanyamaza mpaka tukaachana Basi, yeye mrefu na alipata mafunzo ya polisi akachaguliwa ffu, baadaye kapanda cheo sio ffu Tena.
Umemaliza chuo nikuoe?Sio umasai sema ilitokea mistake, niliondoka mwanza kwa sista kwa muda kufika kule, nikapelekwa chuo, kipindi hiko kulikuwa wenye sm wachache tu sikuwa nayo, ye kajua nimeenda kuolewa kumbe Wala, kurudi nimekwenda, kanipokea vizuri tu, nimekaa chini kaniambia ulivyoondoka nilizani umeolewa, Kuna mwanamke nipo naye, mi sipend Mambo ya ugomvi, hapa line mtaweza kufanya fujo, ndo kisa kuachana, kwa Nini ukwenda kule ffu kuomba kupiga sim, mi kimya, Ila akiniona anasimamisha gari tunaongea tatizo Mara nyingi anakuwa na wenzake, na Kuna siku aliniambia sema nikusaidie Nini, nikamwambia siitaji msaada wowote, baadhi ya watu waminiambia mjinga kweli.
Na hata wakiwa kazini tayari ,askari wa kawaida GD(General duties)anaweza hamishiwa FFU ila mala nyingi inakuwa kama ni adhabu.Huwa wanakatwa bogi tu, ila mara nyingi lazima uwe mrefu
[emoji16][emoji28]Umemaliza chuo nikuoe?