Naomba kujuzwa sifa za kujiunga FFU

Uwe na sura ngumu, uno feni, tako kama bashite na midomo miesi.

Elimu dv 4 ya 33
 
Nilishakuwa na bwana ffu, enzi hizo, mrefu kumbe Masai, wamasai wale wale wasiotobolewa alafu wakapelekwa shule, hajawai kusema, siku kupekua pekua nisione picha za kijijini kwao wamasai na mishuka shuka, Ila sikumwambia Wala Nini nikanyamaza mpaka tukaachana Basi, yeye mrefu na alipata mafunzo ya polisi akachaguliwa ffu, baadaye kapanda cheo sio ffu Tena.
 
Aisee, so mliachana kisa ya umasai?
 
We kweli mwanamke. Haya maelezo🤣
 
Aisee, so mliachana kisa ya umasai?
Sio umasai sema ilitokea mistake, niliondoka mwanza kwa sista kwa muda kufika kule, nikapelekwa chuo, kipindi hiko kulikuwa wenye sm wachache tu sikuwa nayo, ye kajua nimeenda kuolewa kumbe Wala, kurudi nimekwenda, kanipokea vizuri tu, nimekaa chini kaniambia ulivyoondoka nilizani umeolewa, Kuna mwanamke nipo naye, mi sipend Mambo ya ugomvi, hapa line mtaweza kufanya fujo, ndo kisa kuachana, kwa Nini ukwenda kule ffu kuomba kupiga sim, mi kimya, Ila akiniona anasimamisha gari tunaongea tatizo Mara nyingi anakuwa na wenzake, na Kuna siku aliniambia sema nikusaidie Nini, nikamwambia siitaji msaada wowote, baadhi ya watu waminiambia mjinga kweli.
 
FFU na police ni pande mbili kwenye shilingi moja
 
Umemaliza chuo nikuoe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…